Wimbo wa Jerusalem umechagukliwa kuwa wimbo ya injili nambari moja nchini Uingereza, katika kura iliyosimamiwa na BBC ambapo uma uliruhusiwa kuchagua nyimbo bora zaidi kati ya 100 ambazo huchezwa sana ...
Msani huyo amesema kuwa alitunga vibao kama bora kushukuru kutokana na changamoto za kimaisha alizokuwa anakabiliwa nazo kipindi fulani katika maisha yake.